Latwifa yatatu

Latwaif za Qur'an:


Latwifa yatatu:

  Allaah s.w asema katika SURAT AL KAHF, aya ya 7:


.(...إِنَّا جَعَلْنَا مَا عَلَى الْأَرْضِ زِينَةً لَهَا)


 Kwa hakika tumevifanya vilioko juu ya ardhi kuwa ni pambo lake.

 Yaliomo juu ya ardhi: majengo na maqasri na mengineo, ni pambo la hio ardhi, wala sio pambo lako. Pambo lako ni taqwa na akhlaaq.

Alhabib Omar bin Hafeedh.