NZI

Katika hadithi mtumi (rehma na amani ziwe juu yake) asema: “akianguka nzi kwenye kinywaji cha mmoja wenu amzamishe kisha ndio amtoe, kwa sababu kwenye bawa lake moja linao ugonjwa na bawa lake lengine linao dawa.”
miujiza ya hini hadithi ni kua mtumi(rehma na amani ziwe juu yake) ameeleza kuwa kuna ugonjwa na dawa yake kwenye nzi mmoja kabala ya kuja kugunduliwa maneno haya kwa qarne kumi na nne, leo ndio imekuja kudunduliwa kua nzi ubaya wake mmoja una mada ya kugeuzia bakteria na vidudu vya ugonjwa na kuvimaliza hapo hapo, kwa hivo nzi akiingia kwenye chai kama bado wataka kuinywa usimtoe kabla hujamzamisha usije ukadhuruka.