ALLAAH S.W. HANA MFANO

ALLAAH s.w hatokamani na kitu wala hayumo ndani ya kitu wala hayupo juu ya kitu. 

 Lau angelikua atokamana na kitu angelikua ameumbwa.

 Na lau angelikua ndani ya kitu angelikua amezungukwa.

 Na lau angelikua juu ya kitu angelikua amebebwa.

 Na yeye ametukuka na yote hayo.