CHUMA

(لَقَدْ أَرْسَلْنَا رُسُلَنَا بِالْبَيِّنَاتِ وَأَنْزَلْنَا مَعَهُمُ الْكِتَابَ وَالْمِيزَانَ لِيَقُومَ النَّاسُ بِالْقِسْطِ وَأَنْزَلْنَا الْحَدِيدَ فِيهِ بَأْسٌ شَدِيدٌ وَمَنَافِعُ لِلنَّاسِ وَلِيَعْلَمَ اللَّهُ مَنْ يَنْصُرُهُ وَرُسُلَهُ بِالْغَيْبِ إِنَّ اللَّهَ قَوِيٌّ عَزِيزٌ)
(Kwa hakika tuliwatuma Mitumi wetu kwa dalili waziwazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wafanyiane uadilifu, na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na manufaa kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anaye mnusuru Yeye na Mitume wake kwa ghaibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu Mwenye kushinda.)

Aya hini yaonesha miujiza iliokua haijulikani mpaka hivi karibuni katika qarni ya ishirini ndio imegunduliwa na wasomi kuwa asili ya chuma sio ardhi bali chuma ni maadini inayo teremka kutoka mbinguni na yateremka ardhini kupitia maelfu ya vimondo kila mwaka zinazo kadiriwa kwa uzito wa zaidi ya tani kumi na kuendelea kama ulvopatikana huku marekani kwa uzito unao kadiriwa kwa tani sitini na mbili

Na yasemekana kuwa chuma ni kiungo kama viungo vya ardhi chenye nafasi kubwa inayo kadiriwa kwa thuluthi ya viungo vya ardhi na yasaidia kuhifadhi mvuto wa ardhi na kuweka balance katika ardhi.