HADITHI YA THALATHINI NA TATU-USHAHIDI

عن ابن عَبَّاسٍ رضي اللُه عنهما: أن رسولَ الله صلى الله عليه وسلم قال: " لَو يُعْطَى النَّاسُ بِدَعْوَاهُمْ لادَّعَى رِجَالٌ أموالَ قَوْمٍ ودِماءَهُمْ لَكِنِ البَيِّنَةُ على المُدَّعِى والْيَمينُ على من أَنْكَرَ."] حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ الْبَيْهَقِيّ  وَغَيْرُهُ هَكَذَا، وَبَعْضُهُ فِي "الصَّحِيحَيْنِ"

[Kutoka kwa Ibnu Abbas (Mungu awe radhi nao) kutoka kwa mtumi (rehma na amani ziwe juu yake) asema: “ lau watu watapewa kwa kudai tu basi kuna watu watadai mali ya wenzao na kiswasi, lakini anae dai kitu lazima alete ushahidi, na kula kiapo ni kwa mwenye kukataa.”] imepokewa na Beyhaqy na wengine.