Latwifa yakwanza

 Latwaif za Qur'an:


Latwifa yakwanza:


 Allaah s.w asema katika SURAT HUUD, aya ya 113: 


.(.. وَلَا تَرْكَنُوا إِلَى الَّذِينَ ظَلَمُوا فَتَمَسّكُمْ النَّار)


 Wala msiwategemee wanao dhulumu, usije ukakuguseni Moto.

 Ikiwa hili ndio onyo la wenye kuwategemea wanao dhulumu! itakua vipi hali ya mwadhwalimu wenyewe?!
 Allaah atuepushe na dhulma. ameen.

Assa'dy.