LATWIFA YA NNE

Latwaif za Qur'an: Latwifa ya nne: Allaah s.w anasema katika SURAT AL HUJURAAT, aya ya 4: إِنَّ الَّذِينَ يُنَادُونَكَ مِن وَرَاءِ الْحُجُرَاتِ أَكْثَرُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ).) Hakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili. Adabu ya mja ndio inwani ya akili yake. Assa3dy.