KUMZURU MTUMI

Na imesuniwa kuzuru qabri ya Mtumi ( rehma na amani ziwe juu yake ) wakati wowote, na baada ya kufanya ibada ya Hajj imependekezwa zaidi na wanazuoni na pia kwa hadithi za Mtumi zinazo pendekeza na kuonesha fadhla kubwa za kuzuri qabri yake, asema mtumi ( rehma na amani ziwe juu yake ) : " Mwenye kuzuru qabri yangu basi atapa shufaa yangu."